Habari za Punde

Ujenzi wa Ukuta wa Ufukwe wa Forodhani Ukiendelea na Ujenzi Wake Sehemu ya Pili ya Ujenzi wa Bustani.

Hatua ya Pili ya Ujenzi wa Ukuta wa Ufukwe wa Bustani ya Forodhani ukiendelea na ujenzi huo baada ya kumaliza sehemu ya barabara katika eneo hilo linalojengwa kwa ajili ya mapumziko kwa Wananchi wanaofika katika eneo hilo wakati wa jioni kwa wageni na wanyeji wa Visiwa vya Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.