Habari za Punde

Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 57 ya Uhuru wa Congo Zafana Jijini Dar es Salaam.

BALOZI wa Congo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba, akizungumza wakati akisoma hotuba yake katika Sherehe za maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika nyumbani kwa Balozi huyo jijini Dar es Salaam, juzi usiku. Katikati ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) ni Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje, Suleiman Saleh
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, akisoma hotuba yake katika Sherehe za maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika nyumbani kwa Balozi huyo jijini Dar es Salaam, juzi usiku. Katikati ni Balozi wa Congo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba (kulia) ni Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje, Suleiman Saleh
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) na Balozi wa Congo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba, wakigonganisha Glasi ikiwa ni ishara ya maadhimisho ya sherehe za miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam, juzi usiku
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kushoto) na Balozi wa Congo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba, kwa pamoja wakikata Keki ikiwa ni ishara ya maadhimisho ya sherehe za miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam, juzi usiku.
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) na Balozi wa Congo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba, wakifurahia jambo wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam, juzi usiku.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.