Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Aweka Jiwe la Msingi Tawi la CCM Bweleo Wilaya ya Magharibi Unguja.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Mwenyekiti wa Tawi la CCM Bweleo akikagua Tawi hilo baada ya kuweka jiwe la msingi akiwa katika ziara yake kuimarisha Chama katika Mkoa wa Mjinii Magharibi Unguja.  
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.