Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said Atowa Somo la Georgraphy Kwa Wanafunzi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akimuuliza swali Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Dungu Mohammed Bakari swali kuhusiana na mlima mkubwa duniani.akiwa katika ziara ya kutembelea Jimbom lake na Kufungua Kongamano la Baraza la Vijana Wilaya ya Kati Unguja  lililofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Walimu Dunga. 
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akitowa maelezo na kutaja milima mikubwa Duniani kwa Wanafunzi hao baada ya kushindwa kujibu maswali aliyowauliza.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wanafunzi wa Skuli za Sekondari na Msingi za Dungu Wilaya ya Kati Unguja wakati wa hafla ya kufungua Kongamano la Baraza la Vijana Wilaya ya Kati Unguja lenye
" Kauli Mbiu Udhalilishaji wa Kijinsia na Mimba za Utoto"

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.