Habari za Punde

Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali yatoa mfumko wa bei kwa mwezi wa Julai

 Mtakwimu wa Kitengo cha bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu Zanzibar Salma Saleh Ali akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na Mfumko wa Bei kwa Mwezi wa Julai huko katika Ofisi ya Mtakwimu mkuu MwanakwerekweMtaalamu wa Uchumi Dr. Suleiman Simai Msaraka akitoa ufafanuzi wa msuala yaliyoulizwa na waandishi wa habari kuhusiana na mfumko wa bei kwa mwezi wa Julai (Picha na Kijakazi Abdalla-Maelezo)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.