Habari za Punde

Utekelezaji wa Ilani ya Uchgaguzi ya CCM Katika Ujenzi wa Viwanja 11 Vya Mpira Katika Wilaya za Unguja na Pemba.

Mradi wa Uwanja wa Michezo katika Wilaya 11 za Unguja na Pemba yaaza ujenzi wake kwa kiwanja katika eneo la kibuteni Wilaya ya Kusini Unguja ukiwa katika hatu za mwisho ya uwanja huo utakao kuwa na viwanja mbalimbali vya kukimbilia,Netiboli na Basketi Ball. 
Sehemu ya Uwanja huo wa Mpira katika Kijiji cha Kibuteni Wilaya ya Kusini Unguja.
    Sehemu ya barabara ya kukimbilia katika Uwanja huo mpya ulioko katika eneo la kibuteni Unguja.
                               Eneo la Uwanja wa mpira wa netiboli na basketi boli.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.