Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Yatiliana Saini na Kampuni ya CPS Fumba Town Development Kuwabeba Wananchi Kwa Mikopo ya Kununua Nyumba Fumba.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg. Juma Ameir Khafidh akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa kutoa mikopo kwa ununuzi wa nyumba za Kisasa za Fumba Town Development kupitia PBZ,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa ofisi hiyo Mazizini Zanzibar.  
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CPS inayojenda nyumba za Fumba Town Development Sebastian Dietzold akizungumza wakati hafla hiyo na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali viliko Zanzibar wakati wa uzinduzi wa mpongo huo wa kununua nyumba kupitia njia ya Mkopo PBZ. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.