Habari za Punde

FCS yawezesha Azaki za Zanzibar kufanya mafunzo ya utetezi Morogoro

 Meneja wa Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka Foundation for Civil Society, Edna Chilimo, akizungumza wakati wa mafunzo kwa Wana Asasi za Kiraia kutoka Visiwa vya Zanzibar yaliyofanyika katika ukumbi wa New Savoy mjini Morogoro. Makundi washiriki wa mafunzo hayo ni Azaki kutoka Zanzibar na Pemba ambapo wanashiriki mafunzo ya Utetezi na Ushawishi wa Sera kutoka kwa mashirika ya MVIWATA (Muungano wa Vyama vya Wakulima Wadogo Tanzania) na MPLC (Morogoro Para-Legal Center). Mashirika haya mawili yamebobea katika Ushawishi na Utetezi wa haki za kumiliki ardhi kwa makundi mbalimbali mkoani Morogoro. Picha zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Mshauri Mwelekezi wa Mradi wa Sera kutoka The Foundation for Civil Society Zanzibar, Salma Maulidi, akiendesha mafunzo hayo ndani ya ukumbi wa New savoy Morogoro.
 Mkulima Mwezeshaji wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania MVIWATA Morogoro, Marcelina Kibena akiendesha mafunzo kwa washiri kutoka asasi za Kiraia za Visiwani Zanzibar yaliyofanyika katika Ofisi za MVIWATA zilizopo Viwanja vya Nane Nane mjini Morogoro.
 Ofisa Miradi wa Morogoro Para-Legal Center (MPLC) Sakina Nyumayo, akifafanua jambo kwa washiriki hao wakati wa mafunzo.
 Baadhi ya washiriki katika ukumbi wa Ofisi za MVIWATA viwanja vya Nanenane.
 Baadhi ya washiriki katika ukumbi wa Ofisi za MVIWATA viwanja vya Nanenane, Morogoro Para-Legal Center.
 Ofisa Miradi wa Morogoro Para-Legal Center, Augustino Ernest akifafanua jambo kwa washiriki kuhusu utendaji wa majukumu ya kikazi wakati walipotembelea katika ofisi hiyo.
 Wakati wa maswali
 Umakini wa kusikiliza
 Ofisa Miradi wa Morogoro Para-Legal Center, Augustino Ernest akifafanua jambo kwa washiriki kuhusu utendaji wa majukumu ya kikazi wakati walipotembelea katika ofisi hiyo.
  Mshauri Mwelekezi wa Mradi wa Sera kutoka The Foundation for Civil Society Zanzibar, Salma Maulidi, akiendesha mafunzo hayo ndani ya ukumbi wa New savoy Morogoro.
 Hata hapa ntasikia kwa umakini tu.
 Umakini wa kusikiliza
 Akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa washiriki
 Umakini wa kurekodi kumbukumbu ya mafunzo
 Mafunzo yakiendelea.....
 Washiriki wakijieleza jinsi walivyoelewa na kupata elimu kutoka kwa wenzao MVIWATA na MPLC.
 Washiriki wakijieleza jinsi walivyoelewa na kupata elimu kutoka kwa wenzao MVIWATA na MPLC.
 Waashiriki wakijieleza jinsi walivyojifunza na kuelewa mengi kutoka kwa wenzao.
Mafunzo yakifungwa rasmi siku ya kwanza.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.