Habari za Punde

Uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kiswahili la Kimataifa Zanzibar.Lililoandaliwa na Kamesheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki.

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi Mahiga alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Golden Tulip Mapindizi Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Kongamano la Kimtaifa la Kiswahili Zanzibar lililowashirikisha Wadau wa Kiswahili Afrika Mashariki. 
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Habari Utamaduni Dkt. Mwakyembe alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Golden Tulip Mapindizi Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Kongamano la Kimtaifa la Kiswahili Zanzibar lililowashirikisha Wadau wa Kiswahili Afrika Mashariki.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa Kongamano hilo la Kiswahili linalofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar. 
Viongozi wa Serikali na Jumuiya ya Afrika Mashari wakiimba Wimbo wa jumuiya kabla ya kuaza kwa Kongamano hilo.
Washiriki wa Kongamano hilo kutoka Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiimba Wimbo wa Jumuiya kabla ya ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili linalofanyika Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar.
Washiriki wa Kongamano hilo kutoka Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiimba Wimbo wa Jumuiya kabla ya ufunguzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili linalofanyika Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.