Sheha wa
shehia ya Wingwi mapofu, Ali Hamad Saleh akifunga mkutano wa wazi, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, kwa ajili ya wananchi wake , kupewa msaada
wa kisheria, mkutano huo ulifanyika skuli ya maandalizi shehiani humo
Afisa Mipango
wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Mohamed Hassan Ali,
akijibu maswali ya kisheria ya wananchi wa shehia ya Wingwi mapofu wilaya ya
Micheweni Pemba, kwenye mkutano wa wazi wa kutoa msaada wa kisheria, ulioandaliwa
na ZLSC na kufanyika skuli ya maandalizi ya shehia hiyo
Wananchi wa
shehia ya Wingwi mapofu wilaya ya Micheweni Pemba, wakifuatilia mkutano wa wazi
wa kupewa masaada wa kisheria, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar, ZLSC tawi la Pemba na kufanyika skuli ya Maandalizi ya kijiji hicho
Vijana wa Shehia ya Wingwi mapofu wilaya ya Micheweni Pemba, wakisoma majarida
yanayochapishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, mara baada ya
kumalizika, kwa mkutano wa kuwapa msaada wa sheria wananchi hao, mkutano huo ulioandaliwa
na ZLSC na kufanyika skuli ya Maandalizi shehiani hapo
Mwananchi wa Shehia ya Wingwi mapofu, wilaya ya Micheweni
Pemba, akiuliza suali, kwenye mkutano wa wazi, wa
kutoa masaada wa kisheria kwao, mkutano huo uliandaliwa na Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba
WANANCHI wa
shehia ya Wingwi mapofu wilaya ya Micheweni Pemba, wakifuatilia mkutano wa wazi
wa kupewa masaada wa kisheria, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar, ZLSC tawi la Pemba na kufanyika skuli ya Maandalizi ya kijiji hicho.(Picha na Haji Nassor Pemba)
No comments:
Post a Comment