Habari za Punde

Michezo ya Bonaza la Mkombozi PBZ Viwanja wa Amaan Kwa Michezo Mbalimbali ya Uvutaji Kamba Kufukuza Kuku na Mbio za Magunia.

Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ wakishiriki kakatika mchezo wa kuvuta kamba na timu ya Wanawake wa Shirika la Bandari Zanzibar wakati wa michezo ya Bonaza Mkombozi Cup lililofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar. na kushirikisha michezo ya kuvuta kamba, mbio za kufukuza kuku na mbio za magunia
Wafanyakazi wa Shirika la Bandari wakishiriki katika mchezo wa kuvuta kamba wakishindana na Wafayakazi wa PBZ wakati wa Bonaza hilo lililofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar bandari imeibuka mshindi wa uvutaji kamba.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.