Habari za Punde

Tangazo la nafasi ya kazi ya Ualimu - Al Falah Muslim School

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI AMS

Alfalah Muslim School inatangaza nafasi ya kazi zifuatazo:

1.Mwalimu wa lugha ya Kiingereza nafasi moja
2. Mwalimu wa hesabati nafasi moja

Sifa:
-Awe amepata mafunzo ya ualimu cheti au diploma kwa muktadha wa solo husika
Pahala pa kazi- Alfalah Primary School

3.Mwalimu wa masomo ya biashara nafasi moja
4.Mwalimu wa Hesabati na Fikizikia au Hesabati na Kemia
Nafasi mbili
5.Mwalimu wa sayansi ya komputa (IT), nafasi moja
Sifa:

Awe amehitimu ngazi ya Stashada au Shahada ya ualimu kwa masomo husika

Pahala pa kazi: Alfalah Muslim Sekondari

Maombi yatumwe kwa Mkurugenzi, Alfalah Muslim School 

,Mombasa, Zanzibar si zaidi ya tarehe 15 Novemba na usaili unatarajiwa kufanyika tarehe 2 Disemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.