Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akisalimiana na Viongozi wa Matawi ya Jimbo lake walipofika katika majengo ya Baraza la Wawakilishi kumtembelea Mwakilishi wao na kujionea shughuli za mikutano ya Baraza kwa mualiko wa Mwakilishi wao.
0 Comments