Habari za Punde

Waziri Gavu Azungumza na vyombo vya Habari

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi leo  katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,katika mazungumzo hayo yaliyohusu ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman (kushoto) Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa
Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,katika mazungumzo hayo yaliyohusu zaidi ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman
Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,katika mazungumzo hayo yaliyohusu zaidi ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman

Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) alipozungumza nao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Zanzibar,katika mazungumzo hayo yaliyohusu zaidi ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Oman,[Picha na Ikulu.]21/10/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.