Habari za Punde

Mahafali ya 12 ya Chuo Cha Kumbukumbu Cha Mwalimu Nyerere Kivukoni Jijini Dar es Salaam leo.

Mkurugenzi Idara ya Elimu Mbadala na Watu Wazima Zanzibar Bi Mashavu Ahmada Fakih akiwa katika Maandamano na Mkuu wa Chuo hicho Profesha Shadraki Mwakalila wakielekea katika ukumbi wa mahafali hayo katika Chuo cha Kumbukumbu Cha Mwalimu Nyerere Kivukoni Jijini Dar es Salaam leo 24/11/2017.
Mkurugenzi Idara ya Elimu Mbadala na Watu Wazima Zanzibar Bi. Mashavu Ahmada Fakih akimtunuku Cheti mmoja wahitimu wa Mahafali hayo ya 12 ya Chuo cha Kumbukumbu Cha Mwalimu Nyerere Kivukoni Jijini Dar es Salaam.  Mahafali hayo yamefanyika katika ukumbi wa Chuo hicho. 


1 comment:

  1. Asanteni sana, nilikuwa kama protocol officer hio siku. Kazi yenu ni nzuri

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.