Habari za Punde

Kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii Yaendelea na Ziara Yake Kiziwani Pemba.

Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Ali Suleiman Shihata akiwa katika moja ya Studio za Redio Ist Qama Chakechake Pemba wakati wa ziara yao kutembelea sehemu mbalimbali kisiwani Pemba kuangalia utekelezaji wa majukumu yao 
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.