6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA OMAN NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Oman nchini Mhe. Ali A. Al Mahruqi ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Post a Comment

0 Comments