Habari za Punde

Mtaalamu wa Kampuni ya Brunswich na RakGas Akitowa Taarifa Juu ya Meli ya Utafiti na Utafutaji wa Mafuta na Gas Asili Pemba.

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar, Dkt, Juma Muhammed Salum, akitowa maelezo juu ya Mkutano wa Waandishi wa habari juu ya ujio wa meli ya utafutaji wa mafuta katika bahari ya Kisiwa cha
Pemba. 
Mtaalamu wa  Afya na Usalama kwenye mafuta na Gesi , Respicious Kundawa , kutoka BRUNSWICH NA RAK GAZS ,akizungumza na waanadishi wa habari juu ya umuhimu wa kuwapasha habari Wananchi wa kisiwa cha Pemba juu ya meli ya utafutaji wa mafuta na usalama wake ambayo imewasili Kisiwani Pemba kwa kazi hiyo.
Baadhi ya Waandishi wabahari wakisikiliza kwa makini maelezo ya mkutano huo yaliotolewa na mtaalamu wa Afya na usalama kwenye  mafuta na gesi Respicious Kundawa, kutoka BRUNSWICK NA RAKGAS.
Baadhi ya Waandishi wabahari wakisikiliza kwa makini maelezo ya mkutano huo yaliotolewa na mtaalamu wa Afya na usalama kwenye  mafuta na gesi Respicious Kundawa, kutoka BRUNSWICK NA RAKGAS.
Mtaalamu wa  Afya na Usalama kwenye mafuta na Gesi , Respicious Kundawa , kutoka BRUNSWICH NA RAK GAZS ,akizungumza na waanadishiwa habari juu ya umuhimu wa muwapasha habari Wananchi wa kisiwa cha Pemba juu ya meli ya utafutaji wa mafuta na usalama wake ambayo imewasili Kisiwani Pemba kwa kazi hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.