Habari za Punde

Utunzaji wa Muiundombinu ya Usafi wa Barabara.

Mfanyakazi wa Baraza la Minispa Zanzibar akizoa michanga katika moja ya barabara katika eneo la rahaleo ili kuiweka katika miundombinu mizuri ya barabara hiyo baada ya kupita kwa mvua za vuli zinazonyesha katika maeneo mbalimbali ya Mjini wa Zanzibar na kusababisha milundikano ya michanga katika njia hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.