Habari za Punde

Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Kati ya Zimamoto na JKU Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Jioni leo. Timu ya JKU Imeshinda Bao 1-0.

Mchezaji wa Timu ya Zimamoto na JKU wakiwania mpira wakati wa michuano ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika jioni hii katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu yaJKU imeshinda bao 1 -0.
Mshambuliaji wa Timu ya JKU Alhaji Said akimpita beki wa Timu ya Zimamoto Shafii Hassan, wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi inayofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.