Habari za Punde

Ajali ya Gari na Baskeli ya Rambaramba Barabara ya Malindi leo Mchana

Baskeli ya muuza rambaramba ikiwa imepata ajali katika barabara ya malindi baada ya kuwekwa kati na gari mbili katika eneo hilo kama inavyooneka pichani kiwa ringi juu.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.