Habari za Punde

Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Kati ya Taifa ya Jangombe na Zimamoto Uwanja wa Amaan Zanzibar Zimamoto Imeshinda Bao 2-1.

Kikosi cha Timu ya Zimamoto kinachoshiriki Michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar kilichotoka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Timu ya Taifa ya Jangombe mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar, jana usiku.
 Kikosi cha Timu ya Jangombe kilichokubali kufungwa na Timu ya Zimamoto katika mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uw.anja wa Amaan Zanzibar jana usiku
 Beki wa Timu ya Taifa ya Jangombe akijaribu kumzuiya mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto.

Goli la kwanza la Timu ya Taifa ya Jangombe la kusawazisha wakati wa mchezo wao wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imetoka na ushindi wa Bao 2 - 1.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.