WAZIRI wa Habari Utalii, Utamaduni na Michezo
Zanzibar, Mhe:Rashid Ali Juma akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Pemba
Kombain, wakati wa mchezo wa Kirafiki kati ya Zanzibar Heroes na Pemba Kombain
uliopigwa katika uwanja wa michezo Gombani mchezo kumalizika kwa 0-0.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MCHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar
Heroes) Ibrahim Ahmada Hilika, akitafuta mbinu za kumpita mlinzi wa timu ya
Pemba Kombaini, Massoud Said Kassim wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya
Zanzibar Heroes na Pemba Kombaini uliopigwa uwanja wa Gombani na kumalizika kwa
0-0.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MASHABIKI wa Soka Kisiwani Pemba wakishuhudia
pambano la Pemba, Kombaini dhidi ya mashujaa wa Zanzibar katika mashindano ya
Cahlenj, Timu ya Zanzibar Heroes mchezo uliopigwa katika uwanja wa michezo
Gombani na kumalizika kwa 0-0.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Tags
MICHEZO