Habari za Punde

Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lililozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Ali Mohamed Shein Mazizini Wilaya ya Mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

1 comment:

  1. Waliochaguliwa kufanya isaili afisi ya mtakwimu mkuu wa serikali zanzibar

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.