Habari za Punde

Mradi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo kufunguliwa rasmi na Rais Dk Shein

 Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Maji ,Nishati na Mazingira wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Ali Khalil Mirza, akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali Kisiwani Pemba, juu ya kukamilika mradi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo ambao unatarajiwa kufunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Ali Mohammed Shein, katika shamra  shamra za miaka 54 ya Mapinduzi .

Baadhi ya Waandishi wa habari Kisiwani Pemba, wakiwa katika mkutano na Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi,maji , Nishati na Mazingira wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Ali Khalil Mirza, juu ya kukamilika kwa mradi wa umeme katika Kisiwa cha Fundo ambao unatarajiwa kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt, Ali Mohammed Shein, katika shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.

PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.