Mchezaji wa Timu ya Singida Unite Michel Rusheshangoga akiruka kihuzi cha beki wa Timu ya Zimamoto Amour Haji akiwa chini na Hassan Haji akijaribu kumzuiya wakati wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Singida imeshinda mchezo huo kwa bao 3 -2.
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, ikisisitiza kuwa Tanzania inatambua thamani
kubwa ya ra...
3 hours ago
0 Comments