Habari za Punde

Rais Dk Shein, Azindua Jengo Jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar Ikiwa ni Shamrashamra za Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Jengo Jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serekali lililopo mazizini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika maeneo ya mazizini Zanzibar kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohammed (MBM),Mkurugenzi Mkaazi Banki ya Dunia,Ms. Bella Bird na kushoto Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dk. Ashatu Kijaji wakishiriki katika kukata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo hilo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika maeneo ya mazizini Zanzibar kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohammed (MBM),Mkurugenzi Mkaazi Benki ya Dunia,Ms. Bella Bird na kushoto Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dk. Ashatu Kijaji wakishiriki katika kukata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo hilo
MTAKWIMU Mkuu wa Serikali Bi, Mayasa Mahfoudh Mwinyi , akitowa maelezo kwa Rai wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea jengo hilo baada ya kulifungua rasmin leo, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipanda mti wa mnazi katika eneo la jengo la Mtakwimu Mkuu wa Serikali baada ya uzinduzi wa jengo hilo huko mzizini Zanzibar
MKURUGENZI Mkaazi wa Benki ya Dunia Ms.Bella Bird akizungumza na kutowa salamu za Banki ya Dunia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Mtakwimu Mkuu wa Serikali uliofanyika katika eneo la mazizini Zanzibar
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dk. Ashatu Kijaji akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali mazizini Zanzibar
WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohammed, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali katika eneo la mazizini Zanzibar 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akionesha Tunzo ya Takwimu aliyokabidhiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohammed, wakati wa hafla hiyo.iliofanyika katika viwanja vya jengo hilo mazizini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar lilioko katika eneo la mazizini, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar
BAADHI ya wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa engo Jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serikali wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ai Mohamed Shein, akihutubia. baada ya uzinduzi huo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.