RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akijumuika na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Sand Heroes katika
chakula cha mchana alichowaandalia katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kwa
kuchukua Ubingwa wa Mchezi wa Beach Soka michuano ilioandaliwa na TFF Jijini Da
es Salaam baada ya kuingia faina na kuifunga Timu ya Malawi kwa mabao 3 -2
WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Sand Heroes wakijumuika katika
chakula cha mchana walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi kwa kuwapongeza na kuwazawadia kila Mchezaji shilingi milioni moja
taslim, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar leo

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Sand
Heroes Ali Shariff Adof , akizungumza wakati wa hafla hiyo ya chakula cha
mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk Ali Mohamed Shein, walipofika Ikulu Zanzibar kutambulishwa baada ya kuchukua
Ubingwa wa Mchezo wa Bech Sko kwa kuifunga Timu ya Malawi kwa bao 3-2. michuani
iliofanyika Jijini Dar es Salaam wiki iliopita
RAIS wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akifurahia jambo wakati wa kutambulishwa kwa Wachezaji wa Timu ya Taifa
ya Zanzibar Sand Heroes na Kocha Mkuu Ali Shariff Adof, wakati hafla ya chakula
cha mchana alichoandaa kwa ajili yao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa ufukweni Zanzibar
Sand Heroes iliotowa Ubingwa wa mchezo huo baada ya kuifunga Timu ya Malawi 3
-2, wakati wa mashindano ya Kimataifa yalioandaliwa na TFF Jijini Dar es Salaam
wiki iliopita, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akimkabidhi mmoja wa Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Sand Heroes
shilingi milioni moja kwa ajili ya kuwapongeza kwa ushindi waliopata wa
kulitowa Kombe la Ubingwa wa Mchezo wa Soka la Ufukweli lililoandaliwa na TFF
Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Viongozi wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar pamoja na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar
Sand Heroes,wakiwa katika picha ya pamoja bada ya hafla hiyo ya kuwapongeza na
kuwazawadia kila mchezaji na Viongozi wao shilingi milioni moja kila mmoja
MAWAZIRI na Makatibu Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa
katika picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Sand Heroes,
baada ya hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja ya
Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein, akiwa na Kombe la Ubingwa wa Mchezo wa Soka la Ufukweni baada ya
kukabidhiwa wakati wa hafla ya chakula cha mchana alichowaandaliwa wachezaji
hao, akiwa na Waziri wa HabariUtalii Utamaduni na Michezo Zanzibar. Mhe. Rashid
Ali Juma.leo Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa zamani wa Zanzibar na
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Znzibar Sand Heroes baada ya hafla ya chakula cha
mchana Ikulu Zanzibar leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, akiagana na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Mchezo wa Sola la Ufukweni
Zanzibar Sand Heroes baada ya hafla ya chakula cha mchana na kuwazawadia kila
mmoja shilingi milioni moja
No comments:
Post a Comment