Habari za Punde

BENKI YA UBA YAENDELEZA UJIRANI MWEMA KUPITIA MICHEZO


Mlinda mlango wa Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya United Bank of Africa (UBA) Tanzania akiwa langoni wakati wa mchezo wa kirafiki na timu ya taasisi mbalimbali kutoka Uganda zilizopo nchini. Mchezo huo ulifanyika jijini Dar es Salaam jana.
 Vijana wakiwa uwanjani wakimenyana.
 Mchezo ukiendelea.
 Picha ya pamoja.
Kikosi cha Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya United Bank of Africa (UBA) Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja. Wafanyakazi hao wamecheza mechi ya kirafiki na timu ya taasisi mbalimbali kutoka Uganda zilizopo nchini. Uganda ilishinda kwa mabao 2 dhidi ya UBA (Tanzania) 0. Mechi hiyo ilichezwa katika Uwanja wa Shule ya Msingi Ushindini Mikocheni Dar es salaam jana.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.