Habari za Punde

Taasisi ya Australian Relief Organisation Yakabidhi Mradi wa Kisima Chuo Cha Amali Mkokotoni Zanzibar.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Ndg. Laila Burhani Ngozi akizindua Mradi wa Uchimbaji wa Kisima na Mnara wa Tangi la kuhifadhia maji Safi na Salama,kwa matumzizi ya Wanafunzi wa Chuo Cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mradi huo umefadhiliwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Austrilian Relief Organisation kwa ushirikiano na Association With Time to Help Foundation Tanzania, hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika viwanja vya Chuo hicho Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja. Mradi huo unawanufaisha na Wananchi walio jirani na 
Chuo hicho.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.