Magari yakipita katika Daraja la barabara ya Kibondemzungu maji ya mvua yakiwa yamevuka katika barabara hiyo kutokana na Mvua za Masika zinazonyesha katika Maeneo mbalimbali ya Visiwa vya Unguja na Pemba.
MRADI WA BOOST YATIMIZA ILANI YA CCM ELIMU BORA SHULE YA MSINGI ILBORU-
ARUSHA
-
Mradi wa Kuboresha na Kuimarisha Elimu ya Msingi na Awali Tanzania Bara(
BOOST) unaotekelezwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, umekuwa
sehemu ya ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment