Habari za Punde

Wajumbe Wachangia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akichangia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Umma na Utawala Bora, leo baada ya kusomwa na Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Haroun Ali Suleiman, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.