Habari za Punde

Washiriki wa Michuano ya Kombe la Masauni na Jazeera Cup Kukabidhiwa Vifaa Vya Michezo

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni na Mwakilishi wa Jimbo hilo Nassor Salim Jazeera Wakabidhi Vifaa vya Michezo kwa Timu 20 za Jimbo lao zinazoshiriki Michuano ya Jazeera Masauni Cup michuano inayofanyika usiku katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe. Nassor Salim Jazeera akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kuaza kwa Michuano hiyo ya Masauni Jazeera Cup hufanyika kila mwaka wakati wa kipindi cha mwezi wa Ramadhani baada ya Sala ya Tarawehe katika viwanja vya mnazi mmoja kulia Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.