Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Bajeti ya Wizara ya Afya Zanzibar Yapita.

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akijibu hoja za Michango ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati wa Majumuiyo ya Michango yao waliochangia kwa ajili ya Hutuba ya Bajeti na Matumizi ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019, iliochangiwa na Wajumbe kabla ya kukaa kama Kamati kupitisha Vifungu vya Fedha vya Wizara hiyo.
Waheshimiwa Mawaziri wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia majibu ya Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akijibu hoja za michango ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati wa majumuisho hayo.

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia majibu ya michango yao wakati Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akijibu michango yao baada ya kumaliza kuchangia Wizara yake katika Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar.

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akisisitiza jambo wakati akijibu huja za Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar baada ya kumaliza kipindi cha Michango kuchangia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Afya ya Matumizi na Mapato kwa mwaka wa Fedha 2018/2019.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakishangilia wakati Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akijibu hoja zao baada ya kuchangia Hutuba ya Bajeti ya Wizara yake katika Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar. 

Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum,Mhe. Juma Ali Hatib, akipiga meza kushangiria majibu ya Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akijibu hoja za Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimshangilia Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed wakati akijibu huja za michango ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati walipochangia Hutuba ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2018/2019.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, kulia Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu. 
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg. Juma Ameir Hafidh wakiwa katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.