Habari za Punde

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wakiwasili Katika Viwanja vya Baraza Chukwani Kuhudhuria Mkutano wa Kumi wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar.

Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya FEZA Zanzibar wakiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani wakiwa katika ziara ya kimasomo kuangalia shughuli za uendeshaji wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Wakiingia katika lango kuu la jengo hilo huko chukwani Zanzibar.
Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya FEZA Zanzibar wakiingia katika Majengo ya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar wakiwa katika ziara ya kimasomo.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.