6/recent/ticker-posts

Wananchi wa Uvinje karibuni kupata Umeme


Nguzo za Umeme ambazo zimeshachomekwa kwa ajili ya kupelekewa Umeme Wananchi wa Uvinje Kisiwani Pemba , kupitiwa Mabaoni Fundo ikiwa ni ahadi ya Mheshimiwa Rais wa Zanzibar Dkt, Ali Mohammed Shein.

PICHA NA HANIFA SALIM -PEMBA,.

Post a Comment

0 Comments