Habari za Punde

Waziri wa Fedha na Mipando Zanzibar Awasilisha Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Katika Mkutano wa Kumi Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar Kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akiingia katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar kuendesha Mkutano wa Kumi Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar kuwasilishwa kwa Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa Mapato na Matumizi kwa mwaka wa Fedha 2018/2019. 
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed akiwasilisha Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika Mkutano wa Kumi Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar.Viongozi wa Vyama Vya Siasa vya Upinzani Zanzibar wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati ikiwasilishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.
Wenyeviti wa Chama cha Mapinduzi wa Mikoa ya Unguja wakifuatilia hutuba ya Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar wakati akiwakilisha Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa Matumizi na Mapato kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.