Habari za Punde

EfG Yatoa Mafunzo Kwa Wajasiriamali Wanawake Viwanja Vya Maonesho ya Biashara Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Maofisa wa Shirika la Equality for Growth (EfG), wakijadiliana jambo baada ya kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wanawake kwenye Banda la Jakaya Mrisho Kikwete Viwanja vya Kimataifa vya Maonyesho ya Biashara Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Ofisa Tathimini na Ufuatiliaji, Shaaban Rulimbiye, Mwanasheria, Susan Sitta na Mwanasheria Mussa Mlawa.
 Wageni waliotembelea banda la EfG wakisaini kitabu cha wageni.
 Wageni waliotembelea banda la EfG wakisaini kitabu cha wageni. Kulia ni Mwanasheria Mussa Mlawa akiwa na furaha.
 Maofisa wa Shirika la Equality for Growth (EfG), wakiwa ndani ya banda lao. Kutoka kushoto ni Mussa Mlawa, Susan Sitta na Shaaban Rulimbiye.
 Wananchi wakiwa katika mabanda ya wajasiriamali ambao wamewezeshwa mafunzo na EfG.
Mmoja wa Wajasiriamali wanawake akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la EfG kwenye maonyesho hayo kuhusu ubora wa bidhaa zao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.