Habari za Punde

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Mhe. Bashiru Ali Apokelewa Kwa Kishindo Mkoani Singida.


 Kijana wa Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ikungi, Amina Abdallah akimvika skafu Katibu Mkuu wa CCM, Dk.Bashiru Ali baada ya kuwasili Wilaya ya Ikungi katika ziara ya kikazi ya siku moja mkoani Singida leo hii. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ikungi, Mika Tano Likapakapa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Hassan Kilimba.
 Kikundi cha Utamaduni cha Liti kikitoa burudani wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu, Dk.Bashiru Ali.
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Hassan Kilimba (kulia), akimuelekeza jambo Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ali baada ya kuwasili wilayani Ikungi.
 Dk.Bashiri akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili wilayani Ikungi.
 Dk. Bashiru akiwasalimia wana CCM.
  Dk. Bashiru akisaini katika kitabu cha wageni.
 Makada wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa kupokea Katibu Mkuu.

 Mkutano ukiendelea.
 Wimbo wa Taifa ukiimbwa.
 Makada wa CCM wakiimba wimbo wa Taifa.
 Makada wa CCM wakijitambulisha kwa Katibu Mkuu.
 Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Mzee Yusuph Makamba akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Singida, Diana Chilolo.
  Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Mzee Yusuf Makamba akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Dk.Bashiru Ali. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Hassan Kilimba.
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu, akitoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Jimbo hilo, mbele ya Katibu Mkuu.

 Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Mzee Yusuph Makamba , akizungumza kwenye mkutano wa kumpokea Katibu Mkuu mkoani Singida.
 Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, .Miraji Jumanne Mtaturu, akitoa taarifa ya maendeleo kwa Katibu Mkuu.
 Katibu Mkuu wa CCM, Dk.Bashiru Ali akipitia taarifa mbalimbali za maendeleo.
 Kaimu Katibu wa CCM Wilaya ya Ikungi, Mussa Sunja, akitoa taarifa.
 Katibu Mkuu wa CCM, Dk.Bashiru Ali na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Hassan Kilimba wakionesha silaha za jadi baada ya Wazee wa Mkoa wa Singida kumsimika rasmi.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.