Habari za Punde

Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa Wilaya ya Mkoani kuanza mbio zake

  Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa , Charles Francis Kabeho, akiwaaga Wananchi wa Wilaya ya Chake Chake mara baada ya Mwenge kumaliza mbio zake na kuendelea katika Wilaya ya Mkoani Pemba.
 Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa , Charles Francis Kabeho, akisalimiana na Mkurugenzi wa Baraza la Mji wa Mkoani Pemba, Rashid Abdalla Rashid, mara baada ya Mwenge kuingia katika Wilaya ya Mkoani

kuanza mbio zake.

 Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa , Charles Francis Kabeho , akivikwa Skafu na mmoja wa Scout mara baada ya mwenge kuingia katika Wilaya  ya Mkoani kuanza mbio zake.
 Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Rashid Hadid Rashid, akimkabidhi mbio za mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Issa Juma Ali, kwa ajili ya kuanza mbio zake katika Wilaya hiyo.

PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.