Habari za Punde

Balozi Seif atembelea na kukagua miradi ya maendeleo kisiwani Pemba

 MUONEKANO wa Skuli ya Sekondari Micheweni ambayo inatarajiwa kugharimu zaidi ya Bilioni 2 katika ujenzi wake, ikiwa na vyumba 14 vya kusomea wanafunzi. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akipata maelezo ya ramani ya ujenzi wa nyumba 30 za vijiji kwa ajili ya waathirika wa mvua za masika mwaka 2017 huko katika Shehia ya Tumbe Wilaya Micheweni , kutoka kwa mkurugenzi wa kamisheni ya kukabiliana na Maaafa zanzibar Makame Khatib, wakati wa ziara ya Mkoa wa Kaskazini (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MAKAMU wa Pili wa Rais zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na askari wa KM KM bandarini Mkusa, wakati alipofika kuangalia athari za mabadiliko ya tabia nchi katika eneo la msuka bandarini, wakati wa ziara yake ya mkoa wa kaskazini Pemba (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
 MAKAMU wa Pili wa Rais zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiangalia ramani juu ya ujenzi wa ukuta wa kuzuwia maji Chumvi katika eneo la Msuka bandarini Wilaya ya Micheweni, kutoka kwa mkurugenzi wa wakala wa majengo zanzibar Ramadhan Mussa Bakari, wakati alipofia kuangalia athari hizo katika ziara yake ya mkoa wa kaskazini Pemba. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)  

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali iddi, akipata maelezo ya Ramani ya Ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya Mtambwe, kutoka kwa Wakala ya Majengo Pemba Mansour Mohamed Kassim, wakati alipotembelea chuo hicho katika Ziara yake ya Mkoa wa Kakazini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.