Habari za Punde

Mandhari ya Vivutio vya Mkoa wa Mwanza na Visiwa Vyake Nchini Tanzania.

Mandhari ya muonekano wa eneo la Mwalo wa kijiji cha Igombe wilayani Ilemela mkoani Mwanza ukiwa umepambwa na mitumbwi ya wavuvi wa samaki katika ziwa Victoria hivi karibuni. Eneo hilo ni marufu kwa uvuvi na uuzaji samaki. 

Kisiwa cha Makobe kilichopo  kwenye ziwa Victoria kati ya wilaya ya Ilemela na Ukerewe mkoani Mwanza ni moja kati visiwa vingi vilivyopo katika ziawa hilo vyenye makazi ya wavuvi. Picha hii imepigwa hivi karibuni.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.