Habari za Punde

Mkuu Wa Wilaya ya ChakeChake azungumza na wadau Kuhusiana na Malezi Bora

Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Rashid Hadid Rashid , akizungumza na wadau mbali mbali kuhusiana na malezi na udhalilishaji wa kijinsia
huko katika ukumbi wa PHL Wawi Chake Chake Pemba.

PICHA NA HABIBA ZARALI.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.