Habari za Punde

Ufunguzi wa Tamasha la Elimu Bila Malipo Uwanja wa Amaan Lazinduliwa Jioni Hii Zanzibar

 UZINDUZI WA TAMASHA LA 54  MASHINDANO YA ELIMU BILA MALIPO, UWANJA WA AMANI ZANZIBAR,  MGENI RASMI BALOZI ALI KARUME AKIWA SAMBAMBA NA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI  MH RIZIKI PEMBE JUMA.  KILELE CHA MASHINDANO HAYO NI JUMAPILI TARH 23/9/2018  MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO ANATARAJIWA KUWA RAISI WA ZANZIBAR  NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR ALI MOHAMED SHEIN.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.