Habari za Punde

Vijana Kisiwani Pemba Wakabidhiwa Vifaa Kuendeleza Mradi Wao wa Kufugia Samaki Mikindani Sizini Pemba.

AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab wa kwanza kushoto akiwakabidhi wanakikundi cha Umoja na mshikamano,  vifaa mbali mbali ikiwemo Pauro, Jembe na Mabomba ya kutolea maji, kwa ajili ya kukamilisha mabawa yao ya kufugia samaki huko Mikindani Sizini.
VIONGOZI wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, kushoto Afisa Mdhamini Pemba Bi.Fatma Hamad Rajab wapili ni Afisa Mipango Ndg. Omar Juma Ali wakiangalia mapauro, majembe na bomba waliowapatia vijana wakikundi cha Umoja na Mshikamano kinachojishuhulia na ufugaji wa samaki Sizini
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.