Habari za Punde

Viongozi wa CCM Wapiga Kambi Mwanza Katika Zoezi la Uokoaji wa Miili ya Waliozama na Kivuko Cha Nyerere Ziwa Victoria.

 Uongizi wa Benki ya Watu wa Zanzibar unatoa pole kwa ndugu, jamaa,  marafiki na Watanzania wote kwa ajali mbaya ya MV Nyerere iliyotokea tarehe 20.09.2018
Mwenyezi mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi. Amin
Tunawaombea majeruhi wote wapone haraka.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.