Habari za Punde

Wizara ya Afya Zanzibar Yakabidhiwa Msaada Kutoka Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani.

Naibu waziri wa Afya Harusi Said Suleiman (kushoto) akipokea msaada wa Vifaa mbalimbali ikiwemo Television kutoka Shirika la kuhudumia watoto Duniani (UNICEF) kwa Mwakilishi wa (UNICEF) Dkt. Maryam Seif Hemed vifaa hivyo vitatumika kutoa elimu na kuimarisha afya za kinamama na watoto.


Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Harusi Said Suleiman akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea msaada wa Vifaa mbalimbali kutoka Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani, hafla hiyo ya makabidhiano  Baadhi ya Waandishi wa imefanyika katika viwanja vya Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.