Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Mitaro Zanzibar Katika Maeneo Yanayojaa Maji ya Mvua Ukiendelea Kwa Kasi na Ujenzi Huo Unaofanya na Kampuni ya CRJE.

Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi wa Mitaro Mikubwa ya kupitisha maji katika maeneo yanayojaa maji wakati wa kipindi cha mvua uliendelea katika maeneo hayo katika ujenzi huo, kama wanavyoonekana mafunzi hawa wakiweka zege katika moja ya mtaro huo katika eneo la sebleni Zanzibar. 
Katika eneo hili hujaa maji wakati wa mvua za masika na kusababisha Wananchi kuhama makazi yao kutokana na maji hayo.,Mtaro huu utakuwa mkombo wa eneo kutokaa maji tena baada ya kukamilika ujenzi huo wa mtaro mkubwa na wa kisasa.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.