Habari za Punde

Chama Cha Mapinduzi Chaibuka Kidedea Uchaguzi Mdogo wa Uwakilishi Jimbo la Jang'ombe Zanzibar.

 Msimbamizi wa Uchaguzi Mdogo Jimbo la Jang'ombe Zanzibar Bi. Mwanapili Khamis akitangaza Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Jang'ombe kwa Waandishi wa Habari na Wawakilishi wa Vyama Vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi huo katika Kituo cha kutangazia matokea katika Kituo cha Skuli ya Sekondari Jang'ombe Zanzibar baada ya kukamilika zoezi la kuhesabu kura. Chama Cha Mapinduzi kimeibuka mshindi kwa kupata Kura 6581.na CUF imepata kura 172, ADA TADEA kura.131, CCK- 73, NRA -62, SAU -53, AFP -58, DP - 73,TLP -71.
ombe 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.