Habari za Punde

Mdhamini wa Chama Cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu Mhe.Alhajj Ali Hassan Mwinyi Wazungumza na Skauti Mkuu leo.

Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza ambaye amemtembelea nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es salaam kumwamkia na kujitambulisha leo Jumamosi Oktoba 13, 2018


Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akimsikiliza Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza ambaye akimtambulisha wajumbe alioongozana nao nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumwamkia na kujitambulisha.

 Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akipokea zawadi ya kigoda maalumu cha kuwekea Kurani Tukufu kutoka kwa  Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza ambaye amemtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumwamkia na kujitambulisha akiwa ujumbe wake. Wengine kutoka kushoto ni Kamishna Mkuu wa chama hicho Mhe. Abdulkarim Shah, Mjumbe wa Bodi ya Skauti Kennedy Ndosi, Kamishna Mtendaji wa chama hicho Eline Kitaly na Mjumbe wa Bodi ya Skauti Omar Ilyas.  
Mdhamini wa Chama cha Skauti Tanzania na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na   Skauti Mkuu Mhe. Mwantumu Mahiza ambaye amemtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam kumwamkia na kujitambulisha akiwa ujumbe wake. Wengine  ni Kamishna Mkuu wa chama hicho Mhe. Abdulkarim Shah, Mjumbe wa Bodi ya Skauti Kennedy Ndosi, Kamishna Mtendaji wa chama hicho Eline Kitaly na Mjumbe wa Bodi ya Skauti Omar Ilyas.  
Picha na Issa Michuzi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.